
Saturday Jul 20, 2024
Bessie Head | Kiswahili
Mapango yenye giza, vyura wasio na rangi na mwangwi wenye mafanikio!
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua inayohusu msichana aliyetumia sauti yake. Katika dunia ambapo baadhi ya watu walilazimika kuishi katika mashimo yenye upweke, ambapo walilazimika kunong’ona tu, Bessie alitumia sauti yake kubwa kuwapa watu wake matumani. Bessie anatukumbusha kwamba, kuzungumzia ndoto zako kwa sauti kunaweza kuufanya ulimwengu uwe maridadi zaidi.
Comments (0)
To leave or reply to comments, please download free Podbean or
No Comments
To leave or reply to comments,
please download free Podbean App.