Saturday Jun 29, 2024

Bonus (LIVE) Zarina | Kiswahili

Katika kipindi hiki cha ziada cha KaBrazen, tunamsikia Tata Nduta akisimulia hadithi moja kwa moja! Katika hafla ya  Experience iliyofanyika siku ya Mashujaa, Tata Nduta alisimulia hadithi ya kusisimua ya jinsi Zarina Patel, msichana aliyekuwa na moyo mkubwa, alivyopigana kwa ujasiri kuokoa bustani ya Jeevanjee jijini Nairobi, dhidi ya kugeuzwa kuwa maegesho ya magari. Katika siku hii maalum, Tata Nduta alipata furasa ya kusimulia hadithi hii moja kwa moja mbele ya kikundi cha watoto kama tu wewe, na mgeni maalum kabisa…Zarina Patel Mwenyewe!

Comments (0)

To leave or reply to comments, please download free Podbean or

No Comments

Copyright 2022 All rights reserved.

Podcast Powered By Podbean

Version: 20241125