KaBrazen
Stories of Brazen women from Africa
Episodes

Jul 13, 2024
Jul 13, 2024
32 min
In this bonus KaBrazen episode, we hear Aunty Shishi tell a story live! During the KaBrazen Live Experience, held on Mashujaa Day, Aunty Shishi reimagined the fantastical story of the celebrated Queen Njinga from Angola who could untie any knot. On this special day, Aunty Shishi got to share this story with a group of little ones just like yourself, and if you listen hard, you’ll hear their voices as they help her with the story.

Jul 6, 2024
Jul 6, 2024
9 min
Katika kipindi hiki maalum kabisa cha KaBrazen kutoka kwa hafla ya KaBrazen Live Experience iliyofanyika siku ya Mashujaa, tunapata fursa ya kumsikiliza Zarina Patel mwenyewe! Kama vile watoto waliohudhuria hafla hiyo watakavyokumbuka, Zarina alituambia kuwa watu wadogo wanaweza kuleta mabadiliko makubwa…na alitukumbusha kutowahi kukata tamaa!

Jun 29, 2024
Jun 29, 2024
28 min
Katika kipindi hiki cha ziada cha KaBrazen, tunamsikia Tata Nduta akisimulia hadithi moja kwa moja! Katika hafla ya Experience iliyofanyika siku ya Mashujaa, Tata Nduta alisimulia hadithi ya kusisimua ya jinsi Zarina Patel, msichana aliyekuwa na moyo mkubwa, alivyopigana kwa ujasiri kuokoa bustani ya Jeevanjee jijini Nairobi, dhidi ya kugeuzwa kuwa maegesho ya magari. Katika siku hii maalum, Tata Nduta alipata furasa ya kusimulia hadithi hii moja kwa moja mbele ya kikundi cha watoto kama tu wewe, na mgeni maalum kabisa…Zarina Patel Mwenyewe!

Jun 22, 2024
Jun 22, 2024
19 min
Big hopes, mean bullies and a girl beloved by dreams!
In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the phenomenal story of the bubbly Kenyan girl with big dreams.. In a world where dreams sing, listen, and help you, Nelly reminds us that it’s okay to try, to fail and to learn…because your dreams can come true.

Jun 15, 2024
Jun 15, 2024
19 min
Matumaini makubwa, wachokozi wabaya na msichana anayependwa na ndoto!
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua juu ya msichana mmoja Mkenya, mchangamfu, aliyeota ndoto kubwa kubwa. Katika dunia ambapo ndoto huimba, kusikiliza na kukusaidia, Nelly anatukumbusha kwamba ni sawa kujaribu , kufeli na kujifunza…kwa sababu ndoto zako zinaweza kutimia.

Jun 8, 2024
Jun 8, 2024
21 min
Gobbled up dreams, disappearing colours and a brilliant plan!
In this episode of KaBrazen, Aunty Shishi reimagines the extraordinary story of the girl who dreams out loud. In a world where people’s dreams are being swallowed up by a greedy chameleon, Ketty courageously shows her people in Burundi how important it is to keep on dreaming! As Ketty reminds us, your dreams are so, so, so important, so don’t let anyone stop you dreaming!

Jun 1, 2024
Jun 1, 2024
21 min
Ndoto zinazomezwa, rangi zinazotoweka na mpango bora kabisa!
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua juu ya msichana anayeota kwa sauti. Katika ulimwengu ambapo ndoto za watu zinamezwa na kinyonga mlafi, Ketty kwa ujasiri, anawaonyesha watu wake wa Burudi umuhimu wa kuendelea kuota! Ketty anatukumbusha , ndoto zenu ni muhimu sana , kwa hivyo usimruhusu mtu yeyote akuzuie kuota!

May 25, 2024
May 25, 2024
23 min
In this KaBrazen episode, Aunty Shishi reimagines the amazing story of the girl who dreamed of singing. Bi Kidude sang for over one hundred years in Zanzibar and around the world, and reminds us to listen to what makes us happy, after all our soul knows what to do.
Care warning: Topics include child marriage and physical harm to a child.

May 18, 2024
May 18, 2024
23 min
Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya.
Tafadhali zingatia kwa makini: Miongoni mwa mada zilizopo ndoa za utotoni na dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto.

Nov 17, 2023
Nov 17, 2023
20 min
Credits
Sound Engineer: Wambui Waciuri
Illustrations: Melody Jelagat
Written by: Aleya Kassam
Edited by: Anne Moraa
Voiced by: Afrikan Nduta
KaBrazen Team: Afrikan Nduta & Jane Nthanze
Theme song by: Timothy Arinaitwe & Mbogua Mbugua
Logo by: Francis Ally Mlacha
Produced at: Za Kikwetu Productions
Produced by: The LAM Sisterhood
Season 1 Kiswahili of KaBrazen Podcast was conceptualized and produced by The LAM Sisterhood with support from the Ignite Culture Grant. The Season was recorded at Za Kikwetu Productions Limited. Marketing and Distribution support by Africa Podfest.
Kiswahili podcast production, marketing and distribution support for Season 1 is supported by a grant from Ignite Culture: ACP-EU Culture Programme (Eastern Africa). This fund is being implemented by HEVA, in partnership with the British Council Kenya with the financial contribution of the European Union, and with further support from the Organisation of ACP (African, Caribbean and Pacific) States. It is part of the global ACP-EU Culture Programme.

Welcome to the KaBrazen Universe!
We have so many stories to share!
If you have enjoyed the podcast and want more, visit www.kabrazen.com






